Loading page…
Ofisi nne, kampuni moja. Tutumie ujumbe WhatsApp kwa jibu la haraka zaidi.
Bei, taarifa za mzigo, maswali
Jumatatu – Ijumaa: saa 2 asubuhi – saa 11 jioni · Jumamosi: saa 2 asubuhi – saa 8 mchana
+255 748 484 105
Nyaraka, ankara, ushirikiano
info@focarg.com
Wauzaji wanaleta mizigo kwenye maghala yetu ya China. Wateja wanatembelea au kupiga simu ofisi zetu za Tanzania.
Kuratibu bandari, kutoa forodhani, uhifadhi na usambazaji.
Tuambie unasafirisha nini nasi tutakutumia bei ya meli na ya ndege ulinganishe, kabla ya kubuku chochote.
Tutakutumia bei ya meli na ya ndege ulinganishe. Hakuna kinachowekwa kwenye ratiba hadi ukubali.
Taarifa za mzigoHatua 1 kati ya 2
Ungependa kuongea? Ongea nasi WhatsApp